Naagiza China ni App inayowezesha kununua , kuagiza mzigo moja kwa moja nchini China kwa bei poa, Naagiza China App inawezesha kununua mzigo wa jumla au rejareja online kwa bei ya China na kuupokea popote ndani ya Tanzania bila wasiwasi na bila kutumia madalali, Naagiza China imedhamiria kukuwezesha kupata bidhaa kwa bei poa.